5 Oktoba 2014 - 17:37
Jeshi la Somalia lazidi kuwatokomeza Al-shabab

Jeshi la serikali la Somalia likishirikiana na jeshi la umoja wa Afrika limefanikiwa kuthibiti mji wa bandari Barawe.

Jeshi la serikali la Somalia likishirikiana na jeshi la umoja wa Afrika limefanikiwa kuthibiti mji wa bandari Barawe.
Mji wa Barawe ambao ni moja kati ya ngome kuu za Alshabab upo umbali wa kilomita 200 Kusini Mashariki mwa mji mkuu wa Mogadishu na umekuwa chini ya udhibiti wa wanagambo wa Al Shabaab kwa takriban miaka sita.